Jeremiah 48:33

33 aShangwe na furaha vimetoweka
kutoka bustani na mashamba ya Moabu.
Nimekomesha kutiririka kwa divai kutoka mashinikizo;
hakuna hata mmoja ayakanyagaye kwa kelele za shangwe.
Ingawa kuna kelele,
sio kelele za shangwe.
Copyright information for SwhNEN